Reel by ebm_electrical_company
JENGO NI UMEME🧰 EBM ELECTRICAL INSTALLATION INAKULETEA HUDUMA ZA UMEME TANZANIA 🇹🇿 NZIMA 🟢SITE VISITING….hufanyika kabla kbsa yakuanza hatua yeyote na hii ni kwaajili ya elimu ushauri na makabidhiano ya kazi ktk jengo lako 🟢CIRCUIT PLAN….uchimbiaji wa bomba na mfumo mzima wa jinsi umem utasafir ktk jengo lako 🟢WIRING INSTALLATION…..uvutaji wa waya ndani ya bomba na ni kwa umakini mkubwa 🟢SWITCH AND LIGHT DECORATION….hapa ni maswala yote ya taa na ufungaji switch kwa njia ya kisasa PIA EBM INASHUGULIKIA MASWALA YA ☑️MOTOR GATE…hii ni kwaajili ya kufungua na kufunga geti lako kwa remote na ni swala zima la umeme hutumika(MAFUNDI WABOBEZI KWA HILI WAPO) ☑️AC COPPER PIPE FITTING AND INSTALLATION…..ebm hufanya fitting za AC pia kuifanyia instillation kwa matumizi(mafundi ni special kwa AC wpo) ☑️CCTV CAMERA….ebm hufunga camera kitaalamu bila changamoto yeyote badae ☑️ELECTRICAL SECURITY FANCE…….ebm hujihusisha na maswala yote ya ufungaji wa fance ya umeme kwa umakini wa hali ya juu ☑️UFUNGAJI WA FENI NA HEATER ZA MAJI……pia huhakikisha nyumba yko imefungwa feni kwa umahiri na pia heater zako zipo installed bila kusumbua badae >>>>HAKIKA USISITE KUWASILIANA NASI KWANI HUTAJUTIA KUFANYA KAZI NASI KWANI TUPO KWA KUFANYA KAZI KWA UMAHIRI WA HALI YA JUU<<<< ☎️Piga/whatsapp/text: 0672475628
Comments
A preview Instagram ships with the post — 11 of 18 public comments.
@mrishoponera55 Uyu nani kaka mwambie kesho aje goba atajuta😂😂😂😂
· 1 likes
@honeyverma6981 Maja aaya video dekhkar
@honeyverma6981 😂😂😂
@jkpipes 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@watermeloni49 😂😂🔥
@lopilo_housedesign 😂😂
· 1 likes
@africanasplumbing Noma sana
· 1 likes
@africanasplumbing EBM MACONTENT😂😂😂😂
· 2 likes
@tangastonemaster Hiyo leo hiyooo😂😂😂
· 2 likes
@beibure_workshop 10.m views soon
· 1 likes
@kumbo_waterwelldrilling HUDUMA ZA VISIMA NA MIFUMO YA MAJI 🌊 Kwa mahitaji ya: ✔️ Geo Physical / Hydro Geological Survey ✔️ Uchimbaji wa Kisima (Borehole Drilling) ✔️ Kusafisha Kisima (Borehole Flushing) ✔️ Ukarabati wa Kisima (Borehole Rehabilitation) ✔️ Ufungaji wa Pump (Pump Installation) ✔️ Upimaji wa Wingi wa Maji (Pumping Test) ✔️ Ufungaji wa Bomba (Plumbing Installation and Services) ✔️ Jambo lolote linalohusiana na kisima usisite kuwasiliana nasi 💯 Sisi ni moja kati ya suluhisho bora ya kisima chako na mifumo ya maji 🏡 Ni kwa aina zote za visima vifupi na virefu, na kwa matumizi ya aina zote iwe: Shamba • Nyumbani • Kiwandani • Shule • Mgodini n.k 📞 NB: USHAURI NI BURE Wasiliana nasi: 0653166048