Photo by Kizzy

Photo by Kizzy on September 13, 2026. May be an image of football, soccer, stadium and text that says 'Cela hetw 3 TF'.
Kizzy@kizzy_footverse
1 Likes
0 Comments

✍️ JUST IN ~ Maestro π—‘π—˜π—’ π— π—”π—˜π— π—” ~ Kuna wakati Simba SC wakifanyiwa pressing na mpinzani, na timu inahitaji kutoka nyuma, huwa inatakiwa pasi moja tu, ya kuvunja mstari wa washambuliaji na viungo. ✍️ Hapo ndipo mtamjua huyu Msauzi Afrika kwanini alidhaminiwa na PUMA. Zinapigwa pasi rula, pasi nyoosho, unabaki kushika kichwa. Na hivyo ndivyo Steve Barker anavyotaka kwa Neo Maema. - ✍️ Irudie game dakika ya 60, Mligo alifanyiwa pressing, akaachia kwa Maema, upande wa kushoto, viungo na washambuliaji wote wa Wanderes walikuwa juu. - ✍️ π—‘π—˜π—’ π— π—”π—˜π— π—” alipiga pasi moja mpaka kwenye Center Circle. Mpira ukaenda kwa Libase akafanyiwa faulo, ilipopigwa faulo Rushine akapiga kichwa nje. - ✍️ π—‘π—˜π—’ π— π—”π—˜π— π—”. π—™π—¨π—‘π——π—œ π—ͺ𝗔 π— π—£π—œπ—₯𝗔 π—ͺ𝗔 π— π—œπ—šπ—¨π—¨

More from @kizzy_footverse